Kauli ya Mama Kanumba baada ya kusikia lulu katoka jela

Mtangazaji mmoja wa Clouds Plus baada tu ya kusikia kuwa Lulu Amebadilishiwa kifungo na kutoka gerezani alimua kunyanyua simu na kumpigia mama Kanumba na kumuuliza kuhusu hilo, na Mama Kanumba akajibu hivi

"Mimi sina la kusema bali ninamshukuru Mungu, na ninaomba yaishie hapo ,Serikali iliamua kumweka ndani na sasa imeamua kumtoa mapenzi ya Mungu yatimizwe" Mama Kanumba 

Source: Udaku Specially