“Hii inasikitisha sana” – Wastara


Msanii wa kike wa filamu Bongo Wastara Juma amefunguka juu ya picha aliyopost instagram na kuzua mjadala kwa baadhi ya watu, huku wakimtuhumu kupanga njama za kutapeli kwa kutumia ugonjwa wake, ambao ulikuwa unamsumbua muda mrefu na kusababisha kupelekwa India kwa matibabu.
Akizungumza na  Bongo Waves Wastara amesema kwamba kitendo cha watu kumfikiria vibaya  kinamtia uchungu na kinamvunja moyo, kwani ukizingatia hakuomba kupata matatizo aliyopata, na kwamba picha aliyopost ni ya muda mrefu akiwa nchini India.... Soma Zaidi
MaoniMaoni Yako