"Nimekuja dar kumuona mwanangu Alikiba pia tutoe wimbo wetu" Yvone Chakachaka

Msanii mkongwe Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka ameeleza sababu kubwa ya kuja Tanzania ni kumuangalia mtoto wake Alikiba na pia kuja kuachia rasmi wimbo wao mpya unaoitwa ‘Akili ya Mama’ ambao waliorekodi mwishoni mwa 2016.

Source: Udaku Specially

MaoniMaoni Yako