BREAKING: Zidane Zizu ajiuzulu kuifundisha Real Madrid


Official: Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo. Zidane (45) amedumu klabuni hapo toka Januari 2016.

Zidane ndio kocha wa kwanza kwenye historia ya Florentino Perez kuondoka bila kufukuzwa katika klabu ya Real Madrid.

Gazeti la Cadena SER limeripoti kwamba taarifa za uhakika kutoka ndani ya Madrid ni kwamba Zinedine Zidane amejiuzulu kuifundisha Real Madrid - mkataba wake wa sasa ulikuwa unaisha 2020.PIA UNAWEZA TAZAMA VIDEO HII CHINI JINSI YA KUPATA FREE INTERNET KWA MASAA 24-7 days

MaoniMaoni Yako