BREAKING NEWZ: Donald Ngoma asaini Azam FCAzam wamelamba dume endapo watampa matibabu mazuri
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Zimbabwe, Donald Ngoma amesaini mkataba wa mwaka mmoja Azam Fc. Donald Ngoma alikuwa mchezaji wa klabu ya Yanga Sc ila hivi karibuni klabu ya Yanga ilivunja mkataba wake kutokana na kuwa majeruhi ya muda mrefu.

Credit to: Samuel Samuel
MaoniMaoni Yako