BREAKING NEWS: Thomas Tuchel atangazwa kuwa kocha mpya wa PSG.kocha huyo wa Borrusia Dortmund ametangazwa kuwa kocha mpya wa Paris St German ya Ligue 1.

kocha huyo wa ujeruman atampokea kijiti kocha unai emery ambaye ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu. kocha huyo mwenye miaka 44  ambaye ameshazifundisha klabu za Mainz, AUgsburg II na Dortmund ambako alishinda DFB- pokal katika msimu wa 2016-2017.

mabingwa hao wa Ligue 1 wamekadhibishwa na jinsi team ilivyotolewa Uefa champions league  kwa kutolewa na real madrid katika robo fainali ikiongozwa na EMERY ambaye ataondoka.

amechaguliwa na PSG zidi ya makocha wengine ambao wanaripotiwa kuwa ni Massimiliano allegri, chelsea kocha Antonio Conte na kocha wa Spurs Mauricio Pocchettino na pia veterani  wa PSG kaptain  Andre Villas Boas.

lakini kazi kubwa itakuwa ni kuongoza chumba cha kubadilishia nguo ambacho kina  wachezaji wakubwa ikiwamo Neymar ambaye ndio ghari zaid dunian kwa sasa na akina Marco Verrati na Edison Cavani.


Source: Goal.com
MaoniMaoni Yako