Baada ya kupatana, tazama video ya ngoma mpya ya Jaguar na Prezzo hapa

Baada ya Staa Prezoo kutangaza beef yake na Jaguar kuwa imeisha na sasa wamekuwa marafiki leo May 1, 2018 wasanii hao waliokuwa mahasimu wametuletea video yao mpya inaitwa ‘Timika’ ikiwa imetayarishwa chini ya studio za Main Swich.
https://www.youtube.com/watch?v=rRHSnM76nPE
by richard@spoti.co.tz
MaoniMaoni Yako