ARSENAL: Ya Arteta yanafurahisha na kushtua kidogo..

Na Eston Eston
“Tumaini ni kama mafuta na sio mwisho wa safari”.Jose El Salvador Alvarenga naamini angeweza kueleza vema zaidi  maana ya maneno hayo kuliko mwanadamu  yeyote yule duniani.November  2012 akiwa na kijana mdogo alieitwa Cordoba alienda katika moja ya pwani za Mexico akiwa na lengo moja tu kwenda kuvua samaki, siku mbili baadae kimbunga kikubwa kilipiga pwani hio na kuanzia  hapo hakuna tena mwanadamu aliewahi kusikia wala kumuona tena  mvuvi  huyu Jose El Salvador  Alvarenga na yule kijana wake. Muda mrefu  ukapita na hata watu wakamsahau unajua nini lakini ? Baada ya miezi 14 baada ya siku 438 polisi waliokuwa wakifanya doria karibu na kisiwa cha Marshall waliona mtu mmoja aliejiinamia chini akiwa na mwonekano mbaya kidogo wakamsogelea karibu na kumchukua , mtu huyo ni Jose El Salvador Alvarenga.
Mwanadamu aliepotelea baharini na kupatikana akiwa hai baada ya siku 438. Ni tukio la kushangaza sana watu wengi walikuwa na shauku ya kujua namna Alvarenga alivoweza kujilinda na wanyama pori na namna alivyoweza kupata chakula kwa wakati huo wote lakini kwa kweli maisha ya Alvarenga  wakati wote huo yalikuwa yanasukumwa na kitu kimoja kikubwa tu si kingine ni ma........Soma Zaidi
MaoniMaoni Yako