Monday, May 28, 2018

Adam Salamba hatimae atua Simba SC

Tags

Simba yafanikiwa kuinasa saini ya Adamu Salamba ambaye Azam FC pia ilimtaka na Yanga SC ikitaka kumtumia katika michuano ya kombe la Shirikisho la Afrika.

Credit to: Samuel Samuel