Yanayojiri kwenye Msiba wa Masogange: Je,Msiba wafanywa kuwa Wa Kisiasa?

Masogange alikuwa mwanasiasa? Alikuwa ni kiongozi? Alikuwa nani hasa zaidi ya kuwa Video Vixen tunaemfahamu? Je? Tuwape pongezi waliojitolea kumpa heshima hii??