Wasanii Wakivaa Nusu uchi ni Kivutio kwetu Mashabiki: Mbunge huyu aongea bungeni Akilaani kufungiwa kwa Wasanii


“Kinachofanywa sasa Msanii wa Bongofleva anafanya kazi nzuri kwenye ku-shoot akikosea kidogo kwenye mpasuo Waziri huyo amefunga…”

“Mimi nauliza unafungia Wasanii wa Tanzania kuonyesha mpasuo, embu angalia miziki ya kina Rihanna na ndio mnakaa mnaangalia humu kwenye Youtube kila saa ila ya Tanzania mnataka Wasanii wavae dera” –Mbunge wa Geita Joseph Musukuma

“Hata ngoma za tamaduni za Kitanzania kina Mama hasa Wasukuma na Wagogo wanafunga tu kwenye maziwa hapa, wanafunga na hapa chini.... huku chini inakua kivutio, sasa mbona hii miziki ya sasa hivi mnaleta figisu ambayo hatuwaelewi”

Source:Udaku special
MaoniMaoni Yako