Wednesday, April 4, 2018

VideoMPYA: Ladies & Gents hii ni kutoka kwenye Album Vanessa Mdee ft G Nako

Tags


Hatimaye leo April 4,2018 mastaa wawili wa Bongo Fleva Vanessa Mdee akiwa na G Nako wanatuletea video ya wimbo “Wet” kutokea kwenye Album ya Money Mondays. Bonyeza PLAY kuitazama video hiyo.

https://www.youtube.com/watch?time_continue=33&v=NU89jFezPko

by richard@spoti.co.tz