Ujumbe wa Mo Dewji baada ya Simba Kuifunga Yanga


Mara baada ya Simba Kuifunga Yanga na Kujiweka katika hali nzuri ya Kutwaa Ubingwa msimu wa 2017/2018 Bilionea Mo Dewji Kupitia Ukurasa wake wa twitter aliweka Ujumbe Wake.
Mo msomaji wa kwataunit.com  aliandika kuwa Bingwa bila Kumfunga Kanda Mbili akimaanisha Yanga haina Raha, Kama inavyoonekana hapo chini

Kuwa BINGWA bila kumfunga kanda Mbili haina Raha
MaoniMaoni Yako