Friday, April 27, 2018

TANZIA; Kandoro Hatunaye tena

Tags


TANZIA: Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Kandoro afariki dunia usiku huu

Kandoro amefariki katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa kwa matibabu

R.I.P Abbas Kandoro

Source: Udaku special