Rufaa ya wambura imefeli kifungo pale pale

BREAKING NEWS

Sakata la Michael Wambura

Michael Wambura Ashindwa rufaa yake na adhabu aliyopewa amestahiri kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya rufaa ya Maadili ndugu Ebenezer Mshana.

Kifungo cha Maisha cha Kutojihusisha na Masuala ya Soka kipo Pale pale.

Source: Harun Lugoya
Na: Agape Patrick
Email: agape@spoti.co.tz
MaoniMaoni Yako