Monday, April 30, 2018

Paul Makonda Ashindwa Kutokea Ugeni Rasmi Mechi ya Simba na Yanga , Aipiga Kijembe Yanga

Tags


Paul Makonda Ashindwa Kutokea Ugeni Rasmi Mechi ya Simba na Yanga
, Aipiga Kijembe Yanga

Paul Makonda amefunguka haya katika ukurasa wake wa Instagram:

"Asanteni sana Viongozi wangu Kwa kunipa Heshima ya kuwa Mgeni Rasmi. Kutokana na wingi wa majukumu nimeshindwa kuwa nanyi, naamini Amani na uwezo vitatawala ktk uwanja wetu japo Mvua imepunguza mashabiki hasa wale wa jangwani kutokana na ofc yao kuwa Baharini" Paul Makonda