Powered by Blogger.

Slider

Breaking

KITAIFA

VideoBar

This content is not yet available over encrypted connections.

KIMATAIFA

MAGAZETI

UDAKU

BURUDANI

SPOTI TV

» » NUSU FAINALI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP KUCHEZWA APRILI 20 NA 21 SHINYANGA NA SINGIDA

MECHI za Nusu Fainali ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 na 21, mwaka huu.
Nusu Fainali ya Kwanza itachezwa Ijumaa ya Aprili 20, 2018 ikiwakutanisha Stand United ya Shinyanga watakaokuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar ya Morogoro kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga kuanzia Saa 10:00 jioni.
Nusu Fainali ya pili baina ya Singida United ya Singida watakaowakaribisha JKT Tanzania ya Dar es Salaam itachezwa Uwanja wa Namfua Jumamosi ya Aprili 21 kiuanzia Saa 10:00 jioni pia na Fainali itachezwa Mei 31.
by richard@sporti.co.tz
Chanzo: Shutikali

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post