Mchumba wangu Ameanza Kuvaa Shanga na Cheni Miguuni! Inawezekana kweli Ameanza kale Katabia?


Nimekuwa kwenye mahusiano ya takribani miaka mitatu(3) sasa na msichana ambaye awali alikuwa yupo chuoni ila kwa sasa ni mfanyakazi taasisi fulani hivi (jina kapuni). Amepangiwa nje ya MKOA wa DAR nilipo.

Tulipoanza mahusiano haya hakuwahi kunionyesha anayonionesha hivi sasa.

Amekuwa akipost pictures mbalimbali akiwa amevaa ''vimini'' na ''vishanga (vikuku)'' miguu yote Miwili....

Nimejaribu kumuuliza nini MANTIKI ya hizo picha, kanijibu eti "...mbona kawaida tu,..

NIPO SO FRUSTRATED; ISIJE IKAWA KAANZA KALE KATABIA... MAANA NILISHA MTAMBULISHA KWA BAADHI YA NDUGU.


Source: Udaku special
MaoniMaoni Yako