Liverpool wawashangaza manchester city baada ya kuifunga goli 3 kwa 0. Alikuwa ni Mmisiri aliyeiandikia Liverpool goli la kwanza, mnamo dakika ya 12 ya mchezo, baadae dakika ya 21 Oxlade akafunga goli la pili na goli la tatu likifungwa kwa umaridadi mkubwa na SADIO MANE kwa kuunganisha pasi nzuri kutoka kwa Mmisiri MOHAMED SALAH Angalia magoli yote hapa https://youtu.be/ObQiI8E4gTI https://youtu.be/ObQiI8E4gTI https://youtu.be/ObQiI8E4gTI https://youtu.be/ObQiI8E4gTI
MaoniMaoni Yako