Gigy Money eti "hata uje na Milioni 90, Sioneshi Sura ya Mwanangu " Kwasababu hizi..


Msanii wa bongofleva Gigy Money amethibitisha kupata mtoto wa kike ambaye amempa jina la Myra ambapo awali alimpatia jina la Candy lakini kasema kabadili hilo jina kwakuwa baadhi ya watu wenye majina ya Candy wamekuwa hawana sifa nzuri.

Gigy Money amethibitisha hilo baada ya kuzungumza na millardayo.com na Ayo Tv na kusema kuwa hawezi kuitoa sura ya mtoto wake mpaka arobaini ifike na mpaka sasa mwanae kashapata u-ambassodor lakini hawezi kuionesha sura ya mwanae kwa sasa..

Source: udaku special
MaoniMaoni Yako