Dada Yao Ali Kiba na Abdu Kiba (ZABIBU) Ameamua kuwalipizia kaka zake hao


Baada ya Ali Kiba na mdogo wake Abdu Kiba kuoa ndani ya wiki moja, hatimaye dada yao nae anataka kuwajibu kaka zake kwa kuolewa. Zabibu, amekataa katukatu kubakia nyumabani kwa mama yake peke yake baada ya kaka zake kujipatia majiko yao. Amechoka kujiiba, ameamua kuwa milki ya mtu kihalali. 

Ni Abdi Banda anatarajia kufunga ndoa na dada ake Kiba, Zabibu baadae mwaka huu, wanataka kufunga ndoa yao kabla huu mwaka haujaisha, hii inamaana kwamba ndani ya mwaka mmoja nyumba ya mama Ali Kiba itakuwa imejiongezea idadi ya wanafamilia wapya watatu, ki Afrika tuanasema nyumba hii hakika imebarikiwa.  Abdi banda kajipatia Zabibu.  Pongezi kwake Abdi Banda

Abdi Banda kwa sasa anachezea timu moja huko South Africa,ila aliwahi kuichezea simba sc
MaoniMaoni Yako