Powered by Blogger.

Slider

Breaking

MICHEZO

HABARI

MAGAZETI

UDAKU

BURUDANI

VIDEOS

» »Unlabelled » Chelsea yashindwa kutoa zawadi ya pasaka kwa mashabiki wake


Mabingwa wa epl msimu 2017/2018  chelsea fc wameendelea kukumbwa na vipigo mfululizo baada ya kukubali kipigo cha magori 3 kwa moja kutoka  kwa Tottenham Hotspur .mabingwa haw wamekua katika msimu mbaya baada ya kushuhudiwa wakipoteza mechi muhimu na kupunguza matumaini ya kumaliza katika nafasi nne za juu na kushiriki ligi ya mabingwa ulaya

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post