Arsene Wenger huenda akawa kocha Tajiri zaidi Duniani Iwapo atakubaliana na haya:

Kuna watu wana bahati za mtende, ama tuseme Arsenal kuamua kuachana na mzee Wenger imekuwa kama kumpiga teke Chura, kudhania kwamba Wenger ataacha kuwa mwalimu wa soka. Mambo ni motooo, kwa Mzee wenger, huenda akawa ndiye Kocha tajiri kabisa kuwazidi makocha wote duniani.

 Vyanzo mbalimbali vya habari Barani Ulaya vimeripoti uwezekano huo wa Wenger kukabidhiwa kitita cha maana ili kuendelea kuwa kocha.

Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amepewa fursa kuwa mkufunzi tajiri zaidi duniani iwapo atajiunga na ligi kuu ya China.(Mirror)

Wenger ameombwa kuchukua wadhfa wa meneja mkuu katika klabu ya PSG(Le10 via Talksport)
MaoniMaoni Yako