Thursday, March 29, 2018

VIDEO:BRAZIL YAWAPIGA UJERUMANI BAO 0-1, BAADA YA ZILE 7-1 ZA KOMBE LA DUNIA

Tags

 Gabriel Jesus akishangilia baada ya kufunga bao.
 Wachezaji wa Brazil wakishangilia kwa pamoja.

TIMU ya Brazil usiku wa kuamkia leo wameshinda dhidi ya wenyeji wake Ujerumani waliokuwa nyumbani katika mechi ya kirafiki ya Kalenda ya Fifa bao 1-0. Gabriel Jesus ndiye aliyefunga bao hilo.

Inakuwa ni furaha kubwa kwa Brazil ambayo iliingia uwanjani na kumbukumbu ya kipigo cha mwisho cha mabao 7-1 dhidi ya Ujerumani mara ya mwisho katika Kombe la Dunia.
 Germany (4-2-3-1): Trapp; Kimmich; Boateng (Sule 67); Rudiger; Plattenhardt; Gundogan (Werner 80); Kroos; Goretzka (Brandt 61); Draxler; Sane (Stindl 61); Gomez (Wagner 62)
Brazil (4-3-3): Alisson; Alves; Silva; Miranda; Marcelo; Fernandinho; Casemiro; Paulinho; Willian; Jesus; Coutinho (Costa 72)
Scorers: Jesus 37
MATOKEO MENGINE USIKU WA KUAMKIA LEO
Russia 1-3 France
Hungary 0-1 Scotland
Denmark 0-0 Chile
Poland 3-2 South Korea
Belgium 4-0 Saudi Arabia
Tunisia 1-0 Costa Rica
Switzerland 6-0 Panama
Germany 0-1 Brazil
Nigeria 0-2 Serbia
Spain 6-1 Argentina
Colombia 0-0 Australia