Powered by Blogger.

Slider

Breaking

MICHEZO

HABARI

MAGAZETI

UDAKU

BURUDANI

VIDEOS

» » Paka uwanjani : visa vitatu vya kustaajabisha vilivyowahi kusimamisha mechi

Timu ya Besiktas imeshtikiwa na UEFA baada ya paka kuingia uwanjani wakati mchezo kati yao na Bayern Munich.
Mwamuzi wa mpira Muingereza Michael Oliver alisimamisha mechi wakati kipindi cha pili cha mchezo kwenye uwanja wa Vodafone Park hadi paka huyo alipotoka.
Mashtaka hayo yameelezwa kuwa ni "ukosefu wa mpangilio" wakati pia klabu hiyo ya Uturuki ilishitakiwa kwa "kutupa vitu uwanjani na kuziba ngazi"
Kesi hiyo itasikilizwa na bodi ya UEFA tarehe 31 Mei.
Mashabiki wa klabu hiyo ya Ujerumani walimchagua paka huyo kuwa 'mchezaji bora wa mechi'
Bayern Twitter pollHaki miliki ya pichaBAYERN MUNICH
Lakini kumekuwa na visa vingine vya kustaajabisha kwenye uwanja wa soka:
"Kuingia uwanjani na bastola"
Timu ya Ugiriki walifukuzwa kwa muda baada ya rais wa timu ya PAOK kuingia uwanjani akiwa na bastola wakati wa mechi Jumapili iliyopita.
Gun in PAOK president's pocketHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionSavvidis aliingia uwanjani akiwa na bastola kiunoni
Ivan Savvidis, aliyekuwa ametundika bastola hiyo kiunoni alikuwa akijaribu kuongea na mwamuzi wa mpira baada ya goli la timu yake dhidi ya AEK Athens kufutwa
PAOK Salonika president invades pitchHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionSavvidis aliingia uwanjani akiwa na bastola kiunoni
'Kukimbia wakiwa uchi'
The Recreation GroundHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionBath play their home matches at the Recreation Ground
Wachezaji wa timu ya Bath waliadhibiwa baada ya kukimbia wakiwa uchi kwenye uwanja wakati wa mazoezi, Mei mwaka jana.
Source: BBC Michezo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post