Powered by Blogger.

Slider

Breaking

MICHEZO

HABARI

MAGAZETI

UDAKU

BURUDANI

VIDEOS

» »Unlabelled » Mjue vizuri MAREK HAMSIK mshambuliaji wa napoli aliyebeba tuzo ya mchezaji bora mwaka 2017 kwenye taifa lake la Slovakia

Marek hamsik ni mchezaji wa klabu ya NAPOLI inayoshiriki ligi kuu ya ITALY na ni mchezaji wa team ya taifa la SLOVAKIA

Usilolijua kuhusu Marek Hamsik ni kwamba ni mchezaji pekee wa taifa wa slovakia mwenye tuzo nyingi za uchezaji bora wa taifa la slovakia ambazo kwa idadi ni 7 nyingi zaidi kuliko mchezaji yeyote wa team ya taifa ya SLOVAKIA

Pia ni mchezaji wa kwanza kubeba tuzo hiyo mara tano mfululizo toka 2013 hadi 2017 ambapo muda wote amechukua Marek Hamsik

Na miaka aliyobeba ni kama hivi

2009
2010
2013
2014
2015
2016
2017

Kwa hiyo idadi ya miaka iliyoorodheshwa hapo juu kunamfanya awe mchezaji mwenye TUZO nyingi za taifa la SLOVAKIA

Na nikudokeze tuu Marek Hamsik ndie kinara wa mabao katika klabu ya NAPOLI kwa sasa hapo mwanzo aliongoza Higuain alietimkia Juventus ya hapo hapo nchini ITALY

Haya ni machache tuu kwa leo kuhusu
MAREK HAMSIK mshambuliaji wa klabu ya NAPOLI na timu ya taifa ya SLOVAKIA

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post