Powered by Blogger.

Slider

Breaking

MICHEZO

HABARI

MAGAZETI

UDAKU

BURUDANI

VIDEOS

» »Unlabelled » HEE!! SIKIA ALICHOSEMA BANDA KUELEKEA MECHI YA ALGERIAvs TAIFA STARS

Na Agape Patrick.


Naam ni masaa machache tuu yamebakia kuelekea mchezo wa ALGERIA VS TAIFA STARS unaoenda kuchezwa saa 8:00/2:00 kwa masaa ya TANZANIA

Mara ya mwisho team hizi kukutana ni Algeria walishinda goli saba[7]  kwa bila [0] huku TANZANIA akiwa ugenini

 na algeria walishinda goli hizo bila uwepo wa yule star wao mkubwa RIYAD MAHREZ anaechezea leicester city ya pale Uingereza(England)

Yeeees!! Twende kwenye mada kuu inayomhusu mchezaji huyu wa Baroka ya S.A kwa madiba ABDI BANDA aliyeuzwa huko akitokea SIMBA SC
Banda amewapa moyo wa Tanzania kuelekea mechi hiyo kwa kupost maneno haya katika ukurasa wake wa instagram

           "Kinachoturudisha nyuma ni uoga wetu nadhani umefika wakati tubadilike na tukubali kujifunza kwa waliotuzidi"

Hayo ndio maneno ya banda yanayoonekana kuwapa moyo mashabiki wa Taifa stars ili waweze kuishangilia team yao kwa moyo wote

Na mwandishi wenu: agape patrick / barua pepe: agapepatrick1@gmail.com

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post