Haji Manara Amuwashia Moto Abdi Banda “Alikuwa Afukuzwe Timu Kitambo”


Baada ya kusambaa kwa interview ya beki wa zamani wa Simba Abdi Banda anayeichezea Baroka FC ya Afrika Kusini akifanya mahojiano na muandishi wa habari za michezo wa gazeti la Champions Saleh Jembe na kuelezea kusikitishwa na baadhi ya viongozi wa soka Bongo kupenda kulalamika katika vyombo vya habari.

Mahojiano ya Abdi Banda na Saleh Jembe yanaonekana kumgusa Haji Manara kiasi cha kufikia kuandika waraka wazi kupitia ukurasa wake wa instagram kuoneshwa kusikitishwa kwake kwa kile alichokizungumza Abdi Banda.

Hiki ndicho alichokiandika Haji Manara kuhusiana na Abdi Banda
Source:Udakuspecially

MaoniMaoni Yako