Amber Lulu Aponda Muonekano wa Ommy Dimpoz..Adai Hajakaa Kiume


Kuna kale kamsemo kanasema ukiwazoea sana watoto wa kike bila kuwafanyia majambozi kuna siku watakushika wo.wo.wo..

Hii imejidhihirisha kwa mwandada Amber Lulu baada ya kumshukia staa wa bongo Fleva aliyeasi muziki na kuwa staa wa Instagram kwa kupost picha akiwa anakula bata ughaibuni, ambapo wadadisi wa mambo wanasema safari hizo za ng'ambo zinagharamikiwa

Akijibu swali la mtangazaji wa moja ya kipindi cha Online TV ambopo aliulizwa kama ikitokea Jux na Ommy Dimpoz wamepeleka posa nyumbani kwao atamchagua nani.Amberlulu alijibu "Obvious nitamchagua Jux" huku akifafanua kuwa msanii Dimpoz hana mvuto hajakaa kiume, hivyo hawezi kubattle na Jux hata kidogo.

Ushauri kwa vijana wa kiume: Usithubutu kuzoeana sana na wtoto wa kike bila hata kuchombeza hata kama atakunyima ila fresh ushamuonyesha kuwa una uwezo
Source: Udaku Specially
==>>Unaweza Kudownload  APP yetu ya SPOTI << kwa Kubofya Hapa>>
MaoniMaoni Yako