Video: Luis aaga mashabiki wa Simba

1 month ago 654

Video: Luis aaga mashabiki wa Simba

IMEELEZWA kuwa Luis Miquissone yupo kwenye hesabu za kuwaniwa na Al Ahly ambapo wakala wa mchezaji huyo amebainisha kuwa kuna ofa ya bilioni mbili ambayo imetumwa Simba huku kiungo huyo akiwa tayari kupata changamoto mpya.