PSG Ataanzaje Msimu Baada Ya Kuukosa Ubingwa

1 month ago 206

PSG Ataanzaje Msimu Baada Ya Kuukosa Ubingwa

Baada ya mapumziko ya takribani miezi miwili, hatimaye vilabu vipo tayari kuanza kurejea dimbani, na wikiendi hii mambo yatakuwa moto kwenye viwanja mbali mbali vya soka. Meridianbet wameanza na wewe katika ufunguzi wa msimu na gemu za awali kabisa!


 

Tukianzia Ufaransa wikiendi hii Paris Saint Germain anakutana uso kwa uso na Lille katika mechi ya ufunguzi wa msimu, mechi ya Trophee des Champions ndani ya dimba la Bloomfield, Tel Aviv –Israel. Bila shaka PSG hajajiandaa kupoteza taji jingine mbele ya Lille. Meridianbet wamekuwekea odds ya 8.00 kwa PSG kushinda kwa bao 2-0.


 

Huko Ureno pia Sporting CP anavaana na Braga kwenye mechi ya taji la Supertaca Candido de Oliveira, dimba la Estádio José Alvalade XXI huko Portugal litawashuhudia wawili hawa wakivutana mashati. Braga ana kumbukumbu nzuri baada ya kutwaa taji hilo msimu uliopita kwa kuwafunga Benifica 2-0. Mpe ushindi Sporting kwa bao 2-1 na upate odds ya 9.00 toka Meridianbet.


 

Dabi ya kupimana nguvu ya washika mtutu, Arsenal ndani ya Emirate Stadium dhidi ya Chelsea kuelekea msimu mpya ni fursa ya timu zote kuonesha ubora wa vikosi, Bluez anakumbukumbu mbaya katika dimba la Emirate akibamizwa 3-0 msimu uliopita wa ligi kuu. Meridianbet wamekupa odds na machaguo mengi kwa mechi hii.


 

Meridianbet wamekuwekea michezo mingine kibao, ambayo bado inakupa fursa ya kuchagua wapi uweke mkwanja na uvune mkwanja zaidi. Chagua michezo kuanzia soka, esports, bashiri za live na michezo yapo mingine unayoipenda zaidi.