Mbappe Agoma kusaini PSG

1 month ago 218

Msimamo wa mshambuliaji Kylian Mbappé kwa Paris Saint-Germain haujabadilika.

Mbappe hayuko tayari kusaini mkataba mpya na huenda akaondoka bure msimu ujao wa joto, ingawa PSG bado wana imani ya kwamba mchezaji huyo atasaini mkataba mpya.

Source : L'EQUIPE