Manchester City waweka Pauni Mil 100 kwa Grealish

1 month ago 197


Manchester City wamewasilisha ofa ya pauni milioni 100 kwa Aston Villa kwa ajili ya kuinasa saini ya kiungo Jack Grealish.

Source : Sky Sports