Juma Jux akukumbuka penzi lake na Jack Wolper

1 month ago 217

Mwanamziki Namber 1 Kwenye Miondoko ya RNB (@juma_jux ) Amemwagia Sifa Mwanadada Jacklin Wolper Kuwa Alikuwa na Vitu Special Kipindi Wapo kwenye Mahusiano Nae Ila Ilikuwa Private Mno.

"Kila Mwanamke Ninaekuwa Nae kwenye Mahusiano Huwa Anakuwa na Vitu Special Mno Kipindi Kile Cha Wolper Nilienjoy Mno Ni Mwanamke Mwenye Malengo Makubwa kwenye Maisha"-Ameongea (@juma_jux )