Spoti Uchambuzi

Tuzo Taswa hazizingatii vigezo

IJUMAA iliyopita katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam, kulikuwa na sherehe ya utoaji tuzo zilizoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kwa wanamichezo bora wa mwaka 2011. Mgeni rasmi katika tukio hilo muhimu...

Soma zaidi

Waafrika wasio Waafrika wanaotesa EURO 2012

KWA vipaji vya soka waafrika tumejaliwa sana. Wala asikudanganye mtu vipaji tunavyo tena vya kutosha tu. Tunaweza kuwa hatuna akina Messi au Ronaldo lakini akina Rooney, Van Persie, na Torres wapo Africa. Kama wachezaji hawa wangekuwa wanayawakilish...

Soma zaidi

Utaifa wa mwanamichezo uko ndani ya moyo wake

JOSE Mourinho kocha wa Real Madrid hachelewi kujifunika bendera ya taifa lake la Ureno kila mara anapoiwezesha timu anayoifundisha kutwaa ubingwa kwenye ligi za Ulaya. Alifanya hivyo alipokuwa Chelsea, akarudia tendo hilo alipokwenda Inter Milan na ...

Soma zaidi

Simwelewi Papic, hata Kondic sikuwahi kumwelewa

Philemon Muhanuzi

NAKUMBUKA wakati wa Kondic timu ya Yanga ilikuwa inajaza wageni watupu kwenye mazoezi pale Uwanja wa Uhuru, wakati msimu wa usajili ulipokuwa unakaribia. Wachezaji wa mataifa mengine waliokuwa wanakaribia kustaafu soka walijazana kwenye mazoezi ya...

Soma zaidi

Uhuni huu, haukubaliki

Philemon Mhanuzi

LENGO la walioujenga Uwanja wa Taifa ni kuhakikisha taifa linakuwa na kitu kikubwa chenye hadhi ya kimataifa kwenye moja ya majiji makubwa ya Afrika Mashariki na Kati, hilo limetimizwa ingawa rasilimali kubwa kwa maana ya fedha nyingi imetumika na ki...

Soma zaidi

4-5-1 ya Cirkovic bora kuliko ya Poulsen

Philemon Mhanuzi

BAADA ya Taifa Stars kuutumia mfumo wa 4-5-1 katika mechi mbili za kimataifa bila ya kuzaa matunda tuliyoyategemea, hatimaye Milovan Cirkovic kocha kutoka Serbia ametufundisha mashabiki wa soka kwamba 4-5-1 ni fomesheni bora kama inatumiwa na wacheza...

Soma zaidi