Manchester Utd waleeeee!
Monday, 02 April 2012 21:30   

Blackburn vs Manchester UnitedSasa Mancherster City watatakiwa watafute pointi 5 ili kuwakuta Manchester United!

Magoli ya dakika za lala salama ya Antonio Valencia (dakika ya 81) na Ashley Young (dakika ya 86 ) aliyeingia badala ya Paul Scholes yametosha kuwaweka juu ya msimamo wa ligi kuu Uingereza kwa pointi 5 mbele ya wapinzani wao wakuu Manchester City.

Blackburn wakiwa na kiburi cha kuwa wako uwanja wa nyumbani na pia wakiwa na kumbukumbu ya kumfunga Man United magoli 3-2 katika mechi ya awali pale Old Trafford w aliweza kulinda lango lao vema wakisaidiwa na golikipa wao Robinson ambaye aliokoa michomo mingi langoni kwake.

Sasa Blackburn wameshuka hadi kundi la timu tatu za mwisho huku kila timu ikiwa imebakiza michezo saba.

AddThis Social Bookmark Button

 

Maoni 

  1. #1 Melkizedeck john
    2012-04-0404:24:27 Man u ubingwa lazima simba tunafanyia kazi mambo ya ligi hayo heshima nyumbani bwana…
  2. #2 Melkizedeck john
    2012-04-0404:29:00 Spoti starehe starehe kweli lingekuwa linatoka kila siku ingekuwa zaidi ya starehe big up watanzania tupo juuuuuuuuuuuuuu u

Tuma maoni

Maoni yenye kukera, kutukana na kuvunja sheria za nchi yatafutwa

:D:lol::-);-)8):-|:-*:oops::sad::cry::o:-?:-x:eek::zzz:P:roll::sigh:
Bold Italic Underlined List Quote