| Rosicky asaini mkataba Arsenal | |
|
|
Hata hivyo maafisa wa Arsenal hawajasema ni mkataba wa muda gani waliompa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 na ambaye sababu ya Arsenal kumpa mkataba mpya ni kutokana na kiwango chake kuzidi kuwa kizuri zaidi kwa siku z hivi karibuni. Rosicky amekuwa na majeruhi ya mara kwa mara lakini sasa amerejea na amekuwa akipangwa katika mechi nyingi. Amefanikiwa kufunga magoli mawili katika mechi 3 zilizopita dhidi ya Tottenham, Liverpool na AC Milan.
|
Mchezaji wa klabu ya Arsenal na kapteni wa timu ya taifa ya Jamhuri ya CZech amesaini mkataba mpya na klabu yake hiyo aliyodumu nayo tangu mwaka 2006 akitokea Borussia Dortmund ya Ujerumani.

Maoni
2012-03-1210:19:52 Tushinden mechi ya leo tuwe na uhakika wa kucheza UEFA mwakani vinginevyo mwakani tutalia hakyanani!!!!!! !
2012-03-3101:57:59 Jamani napenda,naipend a arsnal na pia napenda leo ishinde