Sunday 05th of September 2010
Home
Habari za Michezo
|
Monday, 23 August 2010 06:00 |
|
Na Flora Amon, Dodoma
YANGA, jana iliichapa Polisi Dodoma bao 1-0 katika mechi ya kwanza ya Ligi Kuu soka Bara, iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, mjini Dodoma.
Mabingwa hao wa Ngao ya Hisani, walianza mchezo kwa kasi na kuliandama lango la wapinzani wao, lakini washambuliaji wake, Yahaya Tumbo, Jerry Tegete na Nsa Job, hawakuwa makini kupachika mabao mapema.
|
|
Read more...
|
|
|
Monday, 23 August 2010 05:59 |
|
Na Julius Kihampa
MABAO mawili ya mlinzi Ameir Maftah yalitosha kuipa Simba ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wake wa fungua pazia wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini dhidi ya African Lyon jana.
Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili.
|
|
Read more...
|
|
Arsenal yafanya mauaji England |
|
Monday, 23 August 2010 05:56 |
|
LONDON, England
ARSENAL jana ilifanya kufuru kwa kuilaza timu mpya iliyopanda daraja msimu huu, Blackpool mabao 6-0 katika mechi ya Ligi Kuu England iliyochezwa Uwanja wa Emirates.
Timu hiyo imetoa kipigo kama ilivyofanya Chelsea iliyoichapa WestBwomwich katika mechi ya ufunguzi mwishoni mwa wiki iliyopita.
|
|
Read more...
|
|
|
Maligo wa Yanga afariki dunia |
|
Monday, 23 August 2010 05:58 |
|
Na JUlius Kihampa
ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti klabu ya Yanga, Costantine Maligo amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Maligo ambaye alikuwa ni miongoni mwa wagombea hao wa Yanga katika Uchaguzi Mkuu hivi karibuni alifariki jana saa 1 asubuhi.
Kwa mujibu wa ndugu wa malingo lianza kuumwa wiki mbili zilizopita akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo na kupooza ambapo alikimbizwa katika hospitali ya moyo ya Tumaini kabla ya kuhamishiwa Muhimbili ambako mauti yalipomkuta.
|
|
Read more...
|
|
Monday, 23 August 2010 05:54 |
|
*Wenger amshutumu Scholes
LONDON, Uingereza
ARSENE Wenger, amemshutumu mchezaji wa Manchester United, Paul Scholes, kwa kumwita 'mchafu'.
Kocha huyo wa Arsenal, amedai mkongwe huyo wa United, ana upungufu mwingi na kusisitiza "samahani, kwangu mimi, yule si mchezaji muungwana."
|
|
Read more...
|
|
|
|
|
|
|
Page 4 of 52 |
Who's Online
We have 7 guests online
Powered by Business Times Ltd
Valid XHTML and CSS.