Home
Habari za Michezo
kocha wa timu ya JKT, ushindi alioupata ni salamu kwa Simba
Monday, 30 January 2012 05:02
Ally Kidy ambaye ni kocha wa timu ya JKT Oljoro amesema kuwa ushindi walioupata dhidi ya Mtibwa ni salamu kwa Simba.
Read more...
 
Keneth Asamoh anena!!
Monday, 30 January 2012 05:01

KINARA wa mabao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Keneth Asamoh amesema kuwa anataka kuchukua kiatu kwa kufunga idadi kubwa.
Read more...
 
KOCHA Msaidizi wa Klabu ya soka ya Yanga
Monday, 30 January 2012 04:58

KOCHA Msaidizi wa Klabu ya soka ya Yanga, Fred Felix Minziro, amesema kuwa kadi nyekundu aliyopewa Nahodha wa timu hiyo Shadrack Nsajigwa, ndio iliyowaponza na kupelekea kupata sare ya kufungana 2-2 dhidi Moro United katika mchezo wa Ligi Kuu bara uliopigwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
Read more...
 
LIGI ya mchezo wa Netiboli
Monday, 30 January 2012 04:59
LIGI ya mchezo wa Netiboli, ya ngazi ya daraja la pili, inatarajiwa kufanyika Dar es Salaam kuanzia Februari 25 mwaka huu.
Read more...
 
Hassan Banyai, ametamba kuifunga timu ya Azam
Monday, 30 January 2012 04:57


KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Moro United, Hassan Banyai, ametamba kuifunga timu ya Azam katika mchezo wao wa Ligi Kuu bara utakaopigwa Jumapili, kwenye Uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Read more...
 
<< Start < Prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 Next > End >>

Page 1 of 209

Swali la Leo

Tanzania kushuka viwango vya Soka FIFA, nini shida?
 

Who's Online

We have 18 guests online